Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Pendo linaweza kutafsiriwa kwa maana mbalimbali, kama vile upendo, mapendo, mapenzi n.k.
Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na Mapenzi. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza habari kutoka nyingine, ondoa kasoro, hifadhi. Kisha futa makala nyingine. |
Hapa linatumika kwa maana ya ono mojawapo la msingi kwa binadamu na wanyama ambalo wanavutiwa na jambo fulani, hata likafuatwa na hamu na hatimaye furaha ikiwa jambo limepatikana kweli.
Kati ya haja za msingi za nafsi, mojawapo ni kupenda na kupendwa.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.