Papa Celestino III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Celestino III (takriban 1106 – 8 Januari 1198) alikuwa Papa kuanzia tarehe 10/14 Aprili 1191 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacinto Bobone.
Alimfuata Papa Klementi III akafuatwa na Papa Innocent III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.