Papa Callixtus II (alifariki 13/14 Desemba 1124) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Februari 1119 hadi kifo chake[1]. Alitokea Burgundy, leo nchini Ufaransa[2].

Thumb
Papa Kalisti II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guy wa Burgundy.

Alimfuata Papa Gelasio II akafuatwa na Papa Honori II.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.