From Wikipedia, the free encyclopedia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyamera | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nyamera wa kawaida (Damaliscus korrigum jimela) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 2, spishi 5, nususpishi 6:
| ||||||||||||||
Nyamera ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Beatragus na Damaliscus katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi D. korrigum topi, lakini siku hizi spishi na nususpishi zote huitwa nyamera mara nyingi. Majina mengine ni hirola, jimela, sasabi na tiang. Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni ya mchanga inayoelekea nyekundu au kijivu mara nyingi. Wana mabaka meusi mwilini, miguuni na kichwani, isipokuwa hirola, na nyamera baka-nyeupe ana baka nyeupe kwa pua na paji. Kichwa chao ni kirefu kama kile cha kongoni lakini pembe zao hazina umbo wa zeze. Wanyama hawa hula manyasi.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyamera (jenasi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.