Mzingo ni mstari wa nje wa umbo la kijiometria kama vile duara, pembetatu au mstatili.
Katika fani ya astronomia mzingo au njia mzingo inataja pia obiti yaani njia ya gimba la angani kama sayari ya kuzunguka jua au mwezi kuzunguka sayari yake kwa sababu njia hii inafanana na mzinga wa duaradufu.
Tazama pia
Viungo vya Nje
- Numericana - Circumference of an ellipse
- Circumference of a circle With interactive applet and animation
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mzingo (jiometria) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.