From Wikipedia, the free encyclopedia
Wembamba ni hali ya kuwa na umbo dogo kinyume cha unene. Neno hili hutumiwa kuonyesha hali ya umbile la kiumbehai au dutu kwamba si pana wala nene.
Pengine wembamba wa kiumbehai unatokana na kukonda kwa maradhi au utapiamlo.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wembamba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.