Mto Mwekundu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mto Mwekundu

Mto Mwekundu ni mto mkubwa wa Vietnam ya Kaskazini. Inaanzia katika jimbo la Yunnan la China na kupita sehemu ya kaskazini ya Vietnam hadi kuishia katika Bahari ya Kusini ya China. Urefu wake ni km 1149. Tawimto kubwa ni Mto Mweusi.

Thumb
Mto Mwekundu karibu na chanzo chake katika China (Aprili 2002.)

Hanoi mji mkuu wa Vietnam iko kando la Mto Mwekundu. Maji yake huwezesha kilimo cha mpunga katika tambarare za Vietnam ya Kaskazini.

Miji

China

  • Honghe
  • Nansha

Vietnam

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.