From Wikipedia, the free encyclopedia
Misufi ni miti mirefu ya jenasi tatu katika familia Malvaceae ambayo yanazaa matunda yaliyojaa na sufi, nyuzi zinazofanana na pamba. Spishi nyingi zinatokea Amerika ya Kusini na ya Kati na Asia, lakini spishi kadhaa zina asili yao katika Afrika.
Msufi | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Msufi mwekundu | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Msufi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.