Mnjegere wa kizungu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mnjegere wa kizungu
Remove ads
Remove ads

Mnjegere wa kizungu (Pisum sativum) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaopandwa mahali popote kwenye maeneo ya tabianchi fufutende. Mbegu zake huitwa njegere za kizungu na huzaliwa katika makaka.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...

Kuna aina mbili za mnjegere ambazo hukuzwa sana kwa makaka mabichi yao yanayolika. Zote mbili huitwa mnjegere sukari lakini zinatofautiana kwa umbo wa makaka. Pisum sativum var. saccharatum una makaka bapa na P. s. var. macrocarpon una makaka manene.

Remove ads

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnjegere wa kizungu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads