Mlemavu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mlemavu ni mtu mwenye upungufu wa kiungo au viungo fulani vya mwili. Pia kuna ulemavu wa ngozi (taz. albino). Si ugonjwa wa muda tu, bali hali ya kudumu.

Mara nyingi hali hiyo husababishwa na ajali au kuzaliwa hivyo hivyo.
Baadhi yao huishia kuombaomba barabarani na kuwa tegemezi kwa jamii inayowazunguka. Lakini wanaweza kufundishwa elimu au ufundi fulani ili wajipatie riziki zao.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.