Ağrı (Kiarmenia: Արարատի) ni jina la mkoa ulilopo mpakani-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Umepakana na Iran kwa upande wa mashariki, Kars kwa upande wa kaskazini, Erzurum kwa upande wa kaskazini-magharibi, Muş na Bitlis kwa upande wa kusini-magharibi, Van kwa upande wa kusini, na Iğdır kwa upande wa kaskazini-mashariki. Jimbo lina kilomita za mraba zipatazo 11,376. Takriban watu 571,243 wanaishi mkoani hapa (sensa ya mwaka wa 2006).

Kwa makala ya mji mkuu wa mkoa huu, tafadhali fungua Ağrı.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Ağrı nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Ağrı
Maeneo ya Mkoa wa Ağrı nchini Uturuki
Thumb
Maelezo
Kanda:Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo:11,376 (km²)
Kodi ya Leseni:04
Kodi ya eneo:0{{{kodi_ya_eneo}}}
Tovuti ya Gavanahttp://www.ağrı.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/ağrı
Funga
Thumb
Mlima Ararat ulioko ndani ya mkoa wa Ağrı

Wilaya zake

Ağrı imegawanyika katika wilaya kuu 8 (wilaya kuu imkoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ağrı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.