Mikesha ni ndege wa familia ya Turdidae ambao ni wadogo na wanono. Spishi za jenasi Neocossyphus na Stizorhina zinaitwa shesiafu pia. Rangi yao kuu ni rangi ya kahawia na madoa meupe na meusi; wengine wana rangi ya machungwa au nyekundu na wengine ni weusi. Hula wadudu hasa lakini wanaweza kula wanyama wadogo wengine, kama koa na nyungunyungu, na hata beri. Wengi wanaweza kuimba vizuri sana. Hujenga tago lao kwa umbo wa kikombe na pengine hulawekea matope kwa ndani. Jike huyataga mayai 2-5 yenye vidoa.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mkesha |
Mkesha-milima (Turdus abyssinicus) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
Oda: |
Passeriformes (Ndege kama shomoro)
|
Familia ya juu: |
Muscicapoidea (Ndege kama shore)
|
Familia: |
Turdidae (Ndege walio na mnasaba na mikesha)
|
|
Ngazi za chini |
Jenasi 24:
- Alethe Cassin, 1859
- Brachyperyx Horsfield, 1821
- Cataponera Hartert, 1896
- Catharus Bonaparte, 1850
- Chamaetylas Heine, 1860
- Chlamydochaera Sharpe, 1887
- Cichlopsis Cabanis, 1850
- Cochoa Hodgson, 1836
- Entomodestes Stejneger, 1883
- Geokichla Seebohm, 1898
- Geomalia Stresemann, 1931
- Grandala Hodgson, 1843
- Heinrichia Stresemann, 1931
- Heteroxenicus Sharpe, 1902
- Hylocichla S.F. Baird, 1864
- Ixoreus Bonaparte, 1854
- Myadestes Swainson, 1838
- Neocossyphus Fischer & Reichenow, 1884
- Nesocichla Gould, 1855
- Psophocichla Cabanis, 1860
- Ridgwayia Stejneger, 1883
- Sialia Swainson, 1827
- Stizorhina Oberholser, 1899
- Turdus Linnaeus, 1758
- Zoothera Vigors, 1832
|
Funga
- Alethe castanea, Mkeshamsitu Kishungi-chekundu (Fire-crested Alethe)
- Alethe diademata, Mkeshamsitu Mkia-mweupe (White-tailed Alethe)
- Geokichla cameronensis, Mkesha Masikio-meusi (Black-eared Ground Thrush)
- Geokichla crossleyi, Mkesha wa Crossley (Crossley's Ground Thrush)
- Geokichla guttata, Mkesha Madoadoa (Spotted Ground Thrush)
- Geokichla gurneyi, Mkesha Rangi-machungwa (Orange Ground Thrush)
- Geokichla oberlaenderi, Mkesha wa Ruwenzori (Oberländer's Ground Thrush)
- Geokichla piaggiae, Mkesha Habeshi (Abyssinian Ground Thrush)
- Geokichla princei, Mkesha Kijivu (Grey Ground Thrush)
- Geokichla tanganjicae, Mkesha wa Kivu (Kivu Ground Thrush)
- Neocossyphus rufus, Shesiafu Mkia-mwekundu (Red-tailed Rufous Thrush au Ant-thrush)
- Neocossyphus poensis, Shesiafu Mkia-mweupe (White-tailed Rufous Thrush au Ant-thrush)
- Chamaetylas choloensis, Mkeshamsitu wa Cholo (Thyolo Alethe)
- Chamaetylas fuelleborni, Mkeshamsitu Kidari-cheupe (White-chested Alethe)
- Chamaetylas poliocephala, Mkeshamsitu Kidari-kahawia (Brown-chested Alethe)
- Chamaetylas poliophrys, Mkeshamsitu Koo-jekundu (Red-throated Alethe)
- Psophocichla litsitsirupa, Mkesha Mgongo-kijivu au Chiru (Groundscraper Thrush)
- Stizorhina finschii, Shesiafu wa Finsch (Finsch's Rufous Thrush au Flycatcher-thrush)
- Stizorhina fraseri, Shesiafu Mwekundu (Fraser's Rufous Thrush au Rufous Flycatcher-thrush)
- Turdus abyssinicus, Mkesha-milima (Abyssinian au African Mountain Thrush)
- Turdus bewsheri, Mkesha wa Komori (Comoro Thrush)
- Turdus helleri, Mkesha wa Taita (Taita Thrush)
- Turdus libonyanus, Mkesha Koo-michirizi (Kurrichane Thrush)
- Turdus ludoviciae, Mkesha Somali (Somali Thrush)
- Turdus merula, Mkesha Mweusi (Common Blackbird)
- Turdus m. aterrimus, Mkesha Mweusi wa Balkani (Balkan Blackbird)
- Turdus m. cabrerae, Mkesha Mweusi wa Kanari (Canary Islands Blackbird)
- Turdus m. mauretanicus, Mkesha Mweusi Magharibi (Maghreb Blackbird)
- Turdus m. merula, Mkesha Mweusi wa Ulaya (European Blackbird)
- Turdus m. syriacus, Mkesha Mweusi wa Syria (Syrian Blackbird)
- Turdus olivaceofuscus Mkesha wa Sao Tome (São Tomé Thrush)
- Turdus olivaceus, Mkesha Kijanikijivu (Olive Thrush)
- Turdus pelios, Mkesha wa Afrika (African Thrush)
- Turdus philomelos, Mkesha Mwimbaji (Song Thrush)
- Turdus roehli, Mkesha wa Usambara (Usambara Thrush)
- Turdus smithi, Mkesha wa Karuu (Karoo Thrush)
- Turdus tephronotus, Mkesha Macho-wazi ((African) Bare-eyed Thrush)
- Turdus viscivorus, Mkesha Mlaberi (Mistle Thrush)
- Turdus xanthorhynchus, Mkesha wa Principe (Príncipe Thrush)
Spotted nightingale-thrush
Ruddy-capped nightingale-thrush
Veery
Black-billed nightingale-thrush
Hermit thrush
Black-headed nightingale-thrush
Grey-cheeked thrush
Russet nightingale-thrush
Swainson's thrush
Wood thrush
Varied thrush
Black-faced solitaire
Puaiohi
Andean solitaire
Townsend's solitaire
Yellow-legged thrush
Aztec thrush
Mountain bluebird
Western bluebird
Eastern bluebird
White-necked thrush
White-collared blackbird
Creamy-bellied thrush
White-throated thrush
Grey-winged blackbird
Japanese thrush
Brown-headed thrush
Austral thrush
Great thrush
Clay-coloured thrush
Grayson's thrush
Grey-backed thrush
Black-billed thrush
Redwing
Pale-breasted thrush
American robin
Dusky thrush
Sooty robin
Bare-eyed thrush
Pale thrush
Fieldfare
Red-legged thrush
Island thrush
Dark-throated thrush
Rufous-bellied thrush
Rufous-backed thrush
Ring Ouzel
Sunda thrush
Orange-headed thrush
White's thrush
Chestnut-backed thrush
Long-billed thrush