From Wikipedia, the free encyclopedia
Muundo katika lugha ni mpangilio na mtiririko wa visa na matukio katika kazi ya kifasihi. Hapa tunachunguza jinsi msanii wa kazi hiyo alivyounda na alivyounganisha tukio moja na jingine, kitendo kimoja na kingine, sura moja na nyingine. Tunapohakiki muundo katika kazi ya kifasihi, hasa riwaya na tamthilia, kuna mambo ya kuzingatia. Mambo hayo ni:
Katika mgawanyo wa kazi mhakiki anapaswa kueleza:
Ikumbukwe kwamba mwandishi anaweza kugawa kazi yake katika sehemu lakini akaipa picha sura na taswira.
Katika kuangalia umbo la kazi mhakiki anapaswa kueleza kama kazi hiyo ni riwaya tamthiliya au ushairi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muundo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.