From Wikipedia, the free encyclopedia
Metz ndiyo mji mkuu katika mkoa la Lorraine. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 430,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 162-256 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Metz | |||
| |||
Mahali pa mji wa Metz katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 49°07′13″N 6°10′40″E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Lorraine | ||
Wilaya | Moselle | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 124,435 | ||
Tovuti: www.mairie-metz.fr |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Metz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.