Meisho (9 Januari 1624 – 4 Desemba 1696) alikuwa mfalme mkuu wa 109 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Okiko. Tarehe 22 Desemba 1629 alimfuata baba yake, Go-Mizunoo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 14 Novemba 1643. Aliyemfuata ni mdogo wake Go-Komyo.
Angalia pia
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Meisho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.