Kwa nyota zenye kutumia jina hili angalia Mbuzi (kundinyota)
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mbuzi |
Mbuzi-mwitu (Capra aegagrus) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
|
Nusuoda: |
Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
|
Familia: |
Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe) J. E. Gray, 1821 |
Nusufamilia: |
Caprinae
|
|
Ngazi za chini |
Jenasi 13:
- Ammotragus (Kondoo wa Barbari) Blyth, 1840
- Arabitragus (Mbuzi Arabu) Ropiquet & Hassanin, 2005
- Budorcas (Kondoo wa Himalaya) Hodgson, 1850
- Capra (Mbuzi wa kweli) Linnaeus, 1758
- Capricornis Ogilby, 1836
- Hemitragus (C. H. Smith, 1826)
- Naemorhedus (Goral) C. H. Smith, 1827
- Nilgiritragus (Mbuzi wa Nilgiri) Ropiquet & Hassanin, 2005
- Oreamnos (Mbuzi-milima wa Marekani) Rafinesque, 1817
- Ovibos (Maksai aktiki) de Blainville, 1816
- Ovis (Kondoo wa kweli) Linnaeus, 1758
- Pseudois (Kondoo buluu) Hodgson, 1846
- Rupicapra (Mbuzi-miamba) de Blainville, 1816
|
Funga
Mbuzi ni wanyama wakubwa kiasi wa nusufamilia Caprinae katika familia Bovidae.
Spishi kadhaa huitwa kondoo lakini kwa kiuainisho hakuna tofauti kuu kati ya makundi haya.
Spishi zote za porini zina pembe kichwani, madume na majike, lakini kuna aina za mbuzi-kaya na kondoo-kaya ambazo hazina pembe.
Spishi za mbuzi zinaweza kugawanywa katika aina mbili zenye mienendo tofauti. Spishi za aina moja huishi kwa makundi madogo na hulinda eneo dogo kiasi lenye chakula kingi dhidi ya wana wa spishi zao zenyewe. Spishi hizi zina pembe kali. Spishi za aina nyingine huishi kwa makundi makubwa katika maeneo makubwa yenye chakula kichache au cha sifa duni. Spishi hizi huwekea eneo lao alama kutoka matezi ya harufu.
- †Benicerus
- †Boopsis
- †Bootherium
- †Capraoryx
- †Caprotragoides
- †Criotherium
- †Damalavus
- †Euceratherium
- †Gallogoral
- †Lyrocerus
- †Myotragus
- †Makapania
- †Megalovis
- †Mesembriacerus
- †Neotragocerus
- †Nesogoral
- †Norbertia
- †Numidocapra
- †Oioceros
- †Olonbulukia
- †Pachygazella
- †Pachytragus
- †Palaeoreas
- †Palaeoryx
- †Paraprotoryx
- †Parapseudotragus
- †Parurmiatherium
- †Praeovibos
- †Procamptoceras
- †Prosinotragus
- †Protoryx
- †Pseudotragus
- †Samotragus
- †Sinocapra
- †Sinomegoceros
- †Sinopalaeoceros
- †Sinotragus
- †Sivacapra
- †Soergelia
- †Sporadotragus
- †Symbos
- †Tethytragus
- †Tossunnoria
- †Tsaidamotherium
- †Turcocerus
- †Urmiatherium
Kondoo wa Barbari
Mbuzi-kaya
Mbuzi-milima wa Nubi
Mbuzi-milima wa Habeshi
Mbuzi wa Himalaya
Kondoo-kaya
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.