From Wikipedia, the free encyclopedia
Marimba (kwa Kiingereza "xylophone") ni ala au chombo cha muziki chenye umbo la sanduku, kilichotengenezwa kwa mbao na kutandikwa vibao vidogovidogo vyembamba vinavyotoa sauti mbalimbali vinapopigwa na virungu viwili.
Pia marimba huweza kutengenezwa kwa kutumia chuma.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marimba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.