From Wikipedia, the free encyclopedia
Mapigano ya Cuito Cuanavale ya mwaka 1987-1988 ni tukio muhimu la Vita vya wenyewe kwa wenyewe mchini Angola na Vita vya mpakani Afrika Kusini.
Mapigano haya yalihusisha Jeshi la Wananchi wa Angola (FAPLA) likiungwa mkono na Cuba upande mmoja, na Umoja wa Kitaifa wa Uhuru wa Angola (UNITA) wakisaidiwa na Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SADF) upande mwingine.
Mapambano yalifanyika karibu na uwanja wa ndege muhimu wa Cuito Cuanavale na mji mdogo wa jina hilo, ili kuzuia shambulio kubwa la FAPLA dhidi ya UNITA huko Jamba na Mavinga.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mapigano ya Cuito Cuanavale kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.