Manama ni mji mkuu wa Bahrain pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 150.000. Iko katika kaskazini ya nchi ambako kuna ardhi yenye rutba kiasi tofauti na jangwa tupu katika kusini.
Manama imejulikana tangu karne ya 14 ilipotajwa katika maandiko. Ilitawaliwa na Ureno katii ya 1521 hadi 1602, na Uajemi kati ya 1602 hadi 1783. Baadaye imekuwa makao ya familia ya kifalme ya Al-Khalifa inayotawala nchi. Tangu 1971 imekuwa mji mkuu wa Bahrain.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.