Milima ya Kunlun (kwa Kichina: Kunlun Shan) ni safu ya milima nchini China yenye kimo cha mita 3,000 hadi 7,000. Mlima mrefu zaidi ni Liushin Shan inayofikia mita 7,167. Kuna pia volkeno nyingi, mlipuko wa mwisho ulitoka mwaka 1951.

Thumb
Milima ya Kunlun
Thumb
Kunlun ni safu ya milima (kahawia) upande wa kusini ya beseni la Taklamakan (njano).
Thumb
Milima ya Kunlun ("Kuen-Lun Mts" kwenye ramani).

Kunlun ni safu ndefu sana ya milima inayoenea kwa kilomita 3,000 ikiwa mwisho wa nyanda za juu za Tibet upande wa kaskazini. Hivyo inapakana na Jangwa la Taklamakan upande wa kusini. Upande wa magharibi inapakana na milima ya Pamir, upande wa mashariki inaishia China ya Kati.

Marejeo

Ukweli wa haraka
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Funga
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima ya Kunlun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.