From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwolio ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wawolio kwenye kisiwa cha Buton na penginepo mpakani kwa nchi hizo mbili. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwolio nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 65,000. Pia kuna wasemaji 520 tu nchini Malaysia (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwolio iko katika kundi la Kicelebiki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwolio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.