From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiurningangg kilikuwa lugha ya Kigiimbiyu nchini Australia iliyozungumzwa na Waurningangg katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiurningangg ilitoweka. Hakuna uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, kwa vile kuna lugha tatu za Kigiimbiyu tu, na zote zilitoweka.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiurningangg kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.