From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimalagasy ya Tesaka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimalagasy ya Tesaka imehesabiwa kuwa watu 1,130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalagasy ya Tesaka iko katika kundi la Kibarito.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy cha Tesaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.