Kisiwa cha Vumba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisiwa cha Vumba ni kati ya visiwa vya Uganda (Mkoa wa Mashariki, Wilaya ya Mayuge).
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.