Kisiwa cha Takawiri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kisiwa cha Takawiri ni kati ya visiwa cha kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.