Kisiwa cha Nsonga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kisiwa cha Nsonga ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Wakiso).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.