Kisiwa cha Morova

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kisiwa cha Morova ni kati ya visiwa vya mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.