Kisiwa cha Lumva
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisiwa cha Lumva ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.