Kisiwa cha Kiau

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kisiwa cha Kiau ni kati ya visiwa vya mkoa wa Kagera, nchini Tanzania, mpakani mwa Uganda.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.