Kisiwa cha Bwema
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisiwa cha Bwema ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Buvuma).
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.