Kisiwa cha Biswe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kisiwa cha Biswe ni kati ya visiwa vya mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.