From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisemai ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasemai. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kisemai imehesabiwa kuwa watu 42,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisemai iko katika kundi la Kiaslian.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisemai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.