From Wikipedia, the free encyclopedia
Kioroha ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waoroha kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kioroha imehesabiwa kuwa watu 38 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioroha iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioroha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.