From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinaxi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wanaxi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinaxi imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaxi iko katika kundi la Kinaiki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinaxi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.