From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimarathi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamarathi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimarathi imehesabiwa kuwa watu 71,700,000. Pia kuna wasemaji nchini Morisi na Israel ambao idadi yao haijulikani Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimarathi iko katika kundi la Kiaryan.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimarathi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.