From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimah-Meri (pia Kibesisi) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamah-Meri. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimah-Meri imehesabiwa kuwa watu 2990. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimah-Meri iko katika kundi la Kiaslian.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimah-Meri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.