Kilovono (au Kivano) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Walovono kwenye kisiwa cha Vanikolo. Mwaka wa 2007 idadi ya Walovono imehesabiwa kuwa watu 120 lakini wazee watano tu wangeweza kuongea Kilovono, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilovono iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
- lugha ya Kilovono kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilovono Archived 21 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilovono katika Glottolog
- lugha ya Kilovono kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilovono kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.