Kilavukaleve
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kilavukaleve ni lugha ya Kisolomon-Katikati nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Walavukaleve kwenye kisiwa cha Russell. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kilavukaleve imehesabiwa kuwa watu 1780.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilavukaleve kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.