From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikwaio ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wakwaio kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikwaio imehesabiwa kuwa watu 13,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwaio iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikwaio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.