From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikeningau-Murut ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamurut. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikeningau-Murut imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeningau-Murut iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikeningau-Murut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.