Kikapingamarangi
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikapingamarangi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wakapingamarangi. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikapingamarangi imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikapingamarangi iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikapingamarangi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.