Kikalabakan
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikalabakan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wakalabakan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikalabakan imehesabiwa kuwa watu 2230. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalabakan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikalabakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.