Kigela
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigela ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wagela kwenye visiwa vya Gela, Florida, Guadalcanal na Savo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kigela imehesabiwa kuwa watu 11,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigela iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.