From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidevu ni sehemu ya chini ya uso. Ni chini ya kinywa na ni sehemu ya mbele ya taya. Kwa wanaume kinaota ndevu.
Uwepo wa kidevu kilichokua vizuri huchukuliwa kuwa moja ya sifa za kimofolojia za Homo sapiens zinazowatofautisha na zamadamu.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidevu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.