From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibolyu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Wagelao. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibolyu imehesabiwa kuwa watu 500 tu, na kwa vile wasemaji wengi wameacha kuzungumza lugha hiyo ikakaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibolyu iko katika kundi la Kipalyu.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibolyu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.