Kibanda ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabanda kwenye visiwa vya Kei. Kwa asili Wabanda wametoka kisiwa cha Banda lakini lugha ya Kibanda imeachwa kuzungumzwa huko. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibanda imehesabiwa kuwa watu 3000. Kwa vile Wabanda wengi wameanza kuacha lugha yao, Kibanda imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
- lugha ya Kibanda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibanda Archived 21 Desemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibanda katika Glottolog
- lugha ya Kibanda kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.