From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimalagasy ya Antankarana ni lugha ya Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimalagasy ya Antankarana imehesabiwa kuwa watu 330,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalagasy ya Antankarana iko katika kundi la Kibarito.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy cha Antankarana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.