Kereng'ende ni wadudu wakubwa wa oda Odonata (odontos = -enye meno) wenye mabawa makubwa maangavu. Kwa asili jina hili limetumika kwa spishi nyekundu. Lakini kwa sababu hakuna jina jingine kwa wadudu hawa, inapendekezwa kutumia jina hili kwa spishi zote za Odonata.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kereng'ende |
Dume la kereng'ende mnene, Crocothemis erythraea |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
|
Nusufaila: |
Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
|
Ngeli: |
Insecta (Wadudu)
|
Ngeli ya chini: |
Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
|
Oda: |
Odonata (Wadudu wenye mabawa makubwa maangavu) Fabricius, 1793 |
|
Ngazi za chini |
Nusuoda 2
|
Funga
Kereng'ende ni wadudu mbuai ambao huwinda wadudu wengine. Kwa sababu ya hiyo macho yao ni makubwa. Wanaweza kuruka nyepesi sana na kuzingazinga, lakini wanaweza kuangama angani pia.
- Crocothemis brevistigma
- Crocothemis divisa
- Crocothemis erythraea, Kereng'ende Mnene (Scarlet Darter)
- Crocothemis sanguinolenta
- Crocothemis saxicolor
- Crocothemis striata Madagascar
- Trithemis aconita
- Trithemis aenea
- Trithemis aequalis
- Trithemis africana
- Trithemis annulata, Kereng'ende Mwekundu-urujuani (Violet Dropwing)
- Trithemis anomala
- Trithemis arteriosa, Kereng'ende Vena-nyekundu (Red-veined Dropwing)
- Trithemis basitincta
- Trithemis bifida
- Trithemis bredoi
- Trithemis brydeni
- Trithemis congolica
- Trithemis dejouxi
- Trithemis dichroa
- Trithemis donaldsoni
- Trithemis dorsalis
- Trithemis ellenbeckii
- Trithemis fumosa
- Trithemis furva
- Trithemis grouti Black Dropwing
- Trithemis hartwigi
- Trithemis hecate Silhouette or Hecate Dropwing
- Trithemis imitata
- Trithemis integra
- Trithemis kalula
- Trithemis kirbyi Orange-Winged or Kirby's Dropwing
- Trithemis monardi Monard's Dropwing
- Trithemis morrisoni
- Trithemis nigra Principe
- Trithemis nuptialis Hairy-legged Dropwing
- Trithemis osvaldae =Congothemis apicalis
- Trithemis palustris Okavango Dropwing
- Trithemis persephone Madagascar
- Trithemis pluvialis Riffle-and-Reed or River Dropwing
- Trithemis pruinata
- Trithemis selika Madagascar, Mayotte
- Trithemis stictica Jaunty Dropwing
- Trithemis tropicana Eastern Phantom Dropwing
- Trithemis werneri Elegant Dropwing
- Crocothemis corocea Australia
- Crocothemis nigrifrons Australia
- Crocothemis servilia (Scarlet Skimmer)
- Trithemis aurora Asia
- Trithemis festiva Asia, Europe
- Trithemis lilacina Indonesia
- Trithemis pallidinervis Long-legged Marsh Glider East Asia
Jike la kereng'ende mnene
Dume la kereng'ende nyekundu-urujuani
Jike la kereng'ende nyekundu-urujuani
Kereng'ende vena-nyekundu
Dume la scarlet skimmer
Jike la scarlet skimmer
|
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kereng'ende (mdudu) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |