Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kayseri ni mji uliopo katikati ya nchi ya Uturuki. Mji huu wa Kayseri umezoeleka kuitwa Mazaka au Kaisareia.
Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Kayseri na unakadiriwa kuwa na lundiko la watu takriban milioni 1.
Mji upo mita 1,050 juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kayseri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.