From Wikipedia, the free encyclopedia
Kavala (kwa Kigiriki Καβάλα, Kavála; zamani Neapolis) ni mji wenye bandari katika Makedonia ya mashariki. Wakazi wake ni 54,027 (2011).
Kadiri ya Agano Jipya, mwaka 49 au 50 mji ulitembelewa na Mtume Paulo kutokana na njozi aliyoipata ikiwa na himizo la kuingia Ulaya ili kuwaletea Injili Wamakedonia (Mdo 16:9-10). Ilikuwa mara ya kwanza kwake kufika Ulaya bara.
Matendo ya Mitume 16:11 kinasimulia hivi: "Basi tukang’oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli".
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kavala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.